Unapata shida? Wasiliana nasi kwa +255 762 204 166

INGIA

Karibu Tena, Rafiki. Ingia kuanza kusoma vitabu

JISAJILI

Ukimaliza kujisajili hapa, lipia riwaya kwa Mpesa(+255762204166)!

Password Recovery

Fortgot your password? Don't worry we can deal with it

Kuhusu Mtunzi

Japhet Nyang’oro Sudi amezaliwa mnamo mwaka 1981 katika hospitali ya Ocean Road Dar es salaam. Yeye ni mtu mwenye kipaji zaliwa nacho katika kutunga riwaya za kijasusi na kipelelezi.


Japhet ni muhitimu wa shahada ya uzamili katika Fedha na Uhasibu katika chuo kikuu Mzumbe (Master of Science in Accounting and Finance).

Uandishi ni kipaji na hufanya kwa muda wake wa ziada kwani kwa sasa yeye ni Mkurugenzi mtendaji wa kampuni moja ya kimataifa hapa Tanzania lakini pia ana majuku ya ziada kwenye kampuni hiyo kwa upande huu wa kusini mwa Jangwa la Sahara.

Japhet Nyang’oro ameoa. Yeye na Edna mke wake pamoja na wanae wanne; Anganile, Lwitiko, Angela na Pila wanaishi Njiro, Arusha Tanzania.

 

  • SAA 72 ZA KUFA NA KUPONA
  • PATASHIKA
  • HEKAHEKA
  • MKONO WA SHETANI
  • NI ZAMU YAKO KUFA
  • MSAKO
  • MSAKO II - The Game